Wanabodi
Japo hili ni Jukwaa la Siasa, unapozumgumzia mambo ya fedha, wengi wanadhani fedha ni uchumi tuu, kumbe sio kweli, fedha ni siasa, fedha ni uchumi, fedha ni jamii, fedha ndio kila kitu!.
Sii wengi wanalijua kosa la kiongozi wa Libya, Muamnar Quadafi kilichofanya auwawe na mabeberu, ni...