kutuma nauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini. Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni...
  2. MrWings

    Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  3. Equation x

    Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili...
  4. LIKUD

    Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  5. LIKUD

    Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  6. Cmfungua

    Wale wote tuliwahi kutuma nauli na Mwanamke hakuja tukutane hapa kupunguza machungu

    Mie niko dar ila nilienda kurefresh akili mkoa wa Arusha kama week 1 nikakutana na mdada mrembo sana. Kama kawaida yang kidume nikajisemea lazma uyuu mtoto nimsajili kwenye team yang tukabadirishana number vzr tuu. Baada ya mapumzko yang ya week moja kuisha nikarud zangu Dar Nikawa nachati na...
Back
Top Bottom