kutuma pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bank kutuma pesa kimakosa

    Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote). Baada ya siku tatu wakanipigia simu kupitia mtu wa bank...
  2. Airtel kutuma pesa kwenda kampuni zingine au bank: ‘Unable to fetch , bad details’

    Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’ Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili? @airteltanzania
  3. Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  4. M

    Vodacom rekebisheni menu yenu ya Mpesa kwenye kutuma pesa mitandao mengine

    Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma? Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba muitoe option ya kutuma kama vocha kwenye sehemu ya kutuma hela haraka sana sawa tunakubali sisi ni...
  5. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  6. Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  7. Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

    Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni
  8. Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  9. K

    Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Hili jambo limetufika wote na linatuathiri sote hawa watu wamedhamiria kutufanya tuzidi kuwa masikini huku wao wakineema. Dunia nzima Hakuna tozo kama hizi,tupeana maujuzi zaidi jinsi ya kukwepa dhuluma hizi tutumie nini sasa kufikisha pesa tutumie uber, bodaboda, parcel,mtu,konda, haingilii...
  10. U

    Apps za kutuma pesa

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tanzania.
  11. P

    Ni huduma gani bora ya kutuma na kupokea fedha nje ya Tanzania?

    Nimekuwa napata shida sana kupata njia nzuri ya kutuma na kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Kwa muda mrefu nimekuwa natumia Western Union na MoneyGram kwa sababu ni njia za uhakika na naweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa. Ila njia hizi zina changamoto zake ambazo zinanifanya niendelee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…