Lengo la ushauri huu ni kuvuka mwaka bila kua na UTI sugu, gono, kaswende au UKIMWI ambao umenusurika nao kwa sehemu kubwa sana ya mwaka huu2024, na mwaka wenyewe unaelekea kuisha hivi karibuni.
Huna haja ya kunishukuru, ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa kila jambo kwa mwaka mzima2024.
Aidha...
Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya
1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa matumizi.
2. Fungua kwa uangalifu: Fungua kondomu kwa upole kwa kutumia mikono yako. Epuka kutumia meno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.