1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A.
Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana.
Serikali bado tunasubiri...
Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio.
Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni...
Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria
Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali.
Taarifa hiyo imetolewa na...
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.
Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.
Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki.
Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
Majambazi wanalitesa sana taifa letu.
Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe amekula kama kumi.
Taifa linatakiwa kuwa huru na watu wawe huru kufanya ujasiriamali na wala sio kuwaza...
MAISHA NI VITA, USIKARIRI KUTUMIA SILAHA MOJA!
Anaandika Robert Heriel
Wataalamu WA vita watakubaliana na Mimi kuwa uwapo kwenye vita hakuna kanuni ya Moja Kwa Moja inayotumika, mtapigana kadiri adui ajavyo na kadiri Hali ilivyo, hakuna kukariri silaha Fulani ndio lazima uitumie kila sehemu...
Dunia imeharibika sana.
Wanadamu wamezidi kuunda silaha hatari za kila aina ambazo tayari zina uwezo wa kuangamiza dunia hata mara 3 mara 4.
Zipo silaha za milipuko, za magonjwa, za mionzi na hata za hali ya hewa zinazoweza kutuma kimbunga au hata tetemeko.
Kama yupo mtaalamu, atusaidie kujua...
Wakati kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake ,ikielekea ukingoni kumalizika ,imefahamika kwamba wakili wa Sabaya ,Mosses Mahuna anadaiwa kulipwa sh, milioni 80 kumwokoa sabaya.
Pesa hiyo inadaiwa kupitia kwa mpenzi wa sabaya aitwaye...
Arusha .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake.
Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.