kutumia simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Unawezaje kujilinda na radi wakati wa mvua kubwa? Kuzima data kunaeupusha kupigwa na radi? Kufahamu hayo na mengine mengi soma uzi huu

    JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi ==== Radi ni nini? Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
  2. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  3. G

    Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
  4. Webabu

    Kuepuka kulipuliwa kwa kutumia simu yako, tumia WiFi na BLUETOOTH

    Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
  5. Richard

    Kamera za CCTV kifaa muhimu kinosaidia kupata ushahidi. Watanzania wajizoeshe kukusanya ushahidi na kuuhifadhi kwa kutumia simu ya mkononi

    Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV. CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana cha ulinzi kwenye dunia ya leo. CCTV hutumika katika maeneo ya umma kwa minajili ya kubaini na...
  6. Webabu

    Makamanda wa Hamas na Hizbullah waache kutumia simu za satellite za Ellon Musk

    Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma. Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
  7. Tlaatlaah

    Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  8. Ngiama makanda

    Msaada: Jinsi ya kutumia simu aina ya MEIZU m3m

    kwa wataalam wa technology humu JF, naombeni msaada wenu hapo, nina simu tajwa hapo juu imenishinda kuitumia kabisa. Nimejaribu kui-restore nimeshindwa maana ukienda kwenye app ya setting hakuna baadhi ya features ikiwemo hiyo ya factory reset. Kiujumla simu imejaa App za kichina mpaka basi...
Back
Top Bottom