kwa wataalam wa technology humu JF, naombeni msaada wenu hapo, nina simu tajwa hapo juu imenishinda kuitumia kabisa.
Nimejaribu kui-restore nimeshindwa maana ukienda kwenye app ya setting hakuna baadhi ya features ikiwemo hiyo ya factory reset. Kiujumla simu imejaa App za kichina mpaka basi...