kutunga sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Je, Bunge Litimize Wajibu Wake KikamiliIfu Ikiwemo Kutunga Sheria, Au Liendelee Kuwa "Rubber Stamp" ya Kupitishia Miswada ya Serikali Bila Kuhoji?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe. Wiki mbili zilizopita kwenye safu hii niliandika mada ya kumpongeza Spika wa Bunge, Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, kuziburuza nchi za Afrika...
  2. Pascal Mayalla

    Bunge Letu Kibri na Jeuri ni Bunge Kweli la Kutunga Sheria au ni Bunge Ruber Stemp ya Serikali? Kwanini Linaogopwa Hivi na Mhimili wa Mahakama?

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Mwananchi. Wiki iliyopita kwenye safu hii nilimpongeza Spika Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, nikasema tunamuomba aliendeshe Bunge letu liisimamie serikali kikamiifu...
  3. Mkalukungone mwamba

    Pauline Gekul ahoji uwiano wa adhabu kwa wafanyabiashara kwenye muswada wa marekebisho ya Sheria ya ushindani 2024

    Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika. Muswada huo...
  4. Pascal Mayalla

    Je, Bunge Linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania? Kitendo cha Bunge Kutunga Sheria Batili Iliyoshabatilishwa na Mahakama Kinamaanisha Nini?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  6. Msanii

    Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  8. Roving Journalist

    Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  9. S

    Je, TCRA wana mamlaka yoyote ya kutunga sheria?

    Naomba kufahamu kwa wajuvi wa sheria hapa JF. TCRA ni taasisi inayosimamia mawasiliano hapa TZ. Je hawa watu wanahusika na kutunga sheria? Mfano ni kuhusu hili suala la VPN
  10. Kyambamasimbi

    Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
  11. Analogia Malenga

    Spika Tulia: Wananchi hukaribishwa kushiriki kutunga sheria

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema bunge linapotangaza kupokea muswaada na kuhitaji mawazo ya wananchi, ni muhimu wananachi kutumia fursa hiyo kupeleka mawazo yao. Amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria ambapo amesema mchakato wa utungaji wa sheria...
  12. GUSSIE

    Tulishiriki kutunga Sheria za TCRA, Humprey Polepole kwanini Unalia kuitwa na TCRA?

    Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja chamani, Sisi wengine na waomba msamaha wote kama Nape tuliogopa usalama wetu na Matumbo yetu JPM...
Back
Top Bottom