kutunza hifadhi ngorongoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, maagizo ya Rais Samia kuhusu Ngorongoro yanatengua amri rasmi iliyochapishwa au ni maigizo?

    Siku tano zikizopita Rais wa Tsnzania alituma wasaidizi wake ambao ni Prof. Kabudi na William Lukuvi kwenda kusawazisha mambo kule Ngorongoro. Aliagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kibinadamu hususan haki ya kupiga kura, afya na elimu vitu ambavyo vilikuwa vimesitishwa chini ya mtutu wa...
  2. Matajiri wanaoishi Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na kwingine wanatumia wamasai wawafugie maelfu ya ngombe Ngorongoro, sasa wanafadhili maandamano

    Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi. Hii ni baada ya serikali kudhibiti mifugo kuingia katika hifadhi nyingine ikiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…