Miongoni mwa habari zilizozua gumzo hivi karibuni ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutumia Sh611.92 milioni kutunza vyura wa Kihansi huko Marekani, gazeti hili limefan-ya uchambuzi, kukusanya maoni na taarifa muhimu zinazopaswa kufahamika na umma kuhusu viumbe hao wanaopatikana Tanzania...