kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matengenezo ya bomba kuu kupunguza maji kwa siku nne Dar es Salaam na Pwani

    ‎Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hoja kuu ya maridhiano ya Kitaifa

    Wakuu zangu leo mimi nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa ili kuliponya Taifa letu. Hivi maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana kupi na baina ya nani na nani?" Je, Serikali haielewani na...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM), Admiral Brad Cooper atembelea Naval-Blockade ya Marekani huko Hormuz!!

    Kamanda wa Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM), Admiral Brad Cooper, ametoa taarifa kwa njia ya video kufuatia ziara yake katika eneo hilo, ambapo alishuhudia shughuli za Marekani na kutambua mchango wa baadhi ya wanajeshi zaidi ya 50,000 waliopo katika eneo hilo chini ya amri yake. Admiral Brad...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watanganyika waliofariki wakipigana katika Vita Kuu ya Pili

    ..Kuna jitihada za kuwatambua Waafrika / Watanganyika waliopigana ktk Vita Kuu ya Pili, na wale waliopoteza maisha yao. ..Hapa chini kuna majina ya Watanganyika waliopoteza maisha yao ktk vita hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Kanuni kuu za ngao combat

    Kanuni kuu za kujilinda za ngao combat nikama vile 1. Ufahamu - kutambua, kutambua hatari mapema kabla haijaja. . 2. No panic no fury - usiwe na hofu wala usikasirike, baada ya kutambua au kuiona hatari au tatizo usiwe na hofu wala usikasirike. 3. avoidence - kuepuka, umeisha ona hatari au...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ikwiriri (Rufiji) - Robo Hekari (100x100), Karibu na Barabara Kuu ya Lindi/Mtwara

    Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake na barabara kuu na stendi. Sifa na Maelezo ya Kiwanja: Mahali kilipo: Mkoa wa Pwani, Wilaya ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anapaswa kuwafukuza kazi Kamishna wa Magereza, na Mkuu wa Gereza la Ukonga, kwa kukaidi hukumu ya Mahakama Kuu

    ..Rais Samia Suluhu adhihirishe Uamiri Jeshi Mkuu wake. Huu ni mtihani kwake. ..Hawa watu hawamkomoi Tundu Lissu, bali wanamchafua Raisi, Serikali, na nchi kwa ujumla. ..Haiingii akili Magereza wakaidi hukumu ya Mahakama halafu mabosi wao hawachukui hatua. ..Wote waliohusika na ukaidi huo...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa

    Nukuu mbalimbali za Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati akitoa mada kuu kuhusu mustakabali wa kilimo barani Afrika katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Goes Extra: Guinness yalileta Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza Tanzania

    Soka si dakika 90 pekee uwanjani. Ni mijadala isiyoisha hata baada ya filimbi ya mwisho, jezi zinazovaliwa kwa fahari, mitaa yenye mashabiki wanaoshikilia timu zao kwa dhati na urafiki unaodumu licha ya ushindani mkali wa timu pinzani. Hivyo, Kombe la Ligi Kuu ya England lilipotua Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Day 2 ya Kongamano la 4 la Maktaba. Uwasilishaji Mada na Mijala Inaendelea.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, leo pia niko tena hapa kwenye ukumbi wa Maktaba Kuu ya Taifa, kukuletea live, Day 2 ya hili Kongamano la 4 la Maktaba. https://www.youtube.com/live/5ELvBc_-9b4?si=nkjgk0zIL6DWv8zU Mzee Pasco.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  13. JamiiForums Tanzania Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

    Wanabodi, Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Hii ni live streaming ya PPR https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM Karibuni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

    Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali. Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Siku Yangu ya Mwisho Huenda Ikawa Jumatatu!” Gavana Natembeya Amkaidi Rais Ruto, Aapa Kukabiliana na Serikali Kuu!

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameapa kutorudi nyuma katika mzozo wake na Rais William Ruto kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, akisema yuko tayari kukabiliana na Serikali Kuu licha ya kile anachodai kuwa vitisho dhidi yake. Akizungumza huku mvutano kati yake na Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali rufaa ya Selasini: Mbatia ashinda vita ya Kisheria na kufutiwa tuhuma zilizomchafua

    MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia. Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
  17. JamiiForums Tanzania Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

    Wanabodi Niko hapa Maktaba Kuu ya Taifa, kuwaletea live press conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba, Dr Mboni Ruzegea. Karibu https://www.youtube.com/live/2hjHsBrQJNo?si=ZjKG4sWP3KUGRlhg Mzee Pasco
  18. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kutoa hukumu kesi ya mawakili wa Tundu Lissu dhidi ya jeshi la Magereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza. Kwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Season Talk: How the Tanzanian Community Follows the EPL and Ligi Kuu

    Where the season gets debated, thread by thread. In short: Ask around the community and the pattern is clear: the fans who enjoy the EPL and Ligi Kuu season most are the ones who separate the talk from the facts. Hot takes are fun, but they are not information. If you bet, treat it as a small...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…