Habari za muda wanajamvi.
Naomba nitangulize shukrani kubwa sana kwa wanajamvi wote wa jamiiforums. Kiukweli, kimekuwa chombo kikubwa kilichosheheni vingi na kutosheleza kila idara.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni majuzi nilikuwa na rafiki yangu tunazungumzia kazi serikalini...