Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali...