kuua simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeota nimeua simba halafu watu wakaninyanyua juu na kunishangilia kama shujaa, ndoto hii ina maana gani?

    Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi". Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…