Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu...