kuuawa kwa wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  2. GENTAMYCINE

    Mimi baada ya Jana tayari nimeshamjua aliye nyuma ya Utekaji na Mauwaji ya sasa nchini. Wewe mwana JF bado hujamjua tu?

    Naiomba ile Tume iliyoundwa wala isitupotezee muda, bali iache tu Maisha yaendelee kwakuwa Mtendaji tumeshamjua.
  3. Sildenafil Citrate

    Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

    Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni...
Back
Top Bottom