Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani...
Wakuu,
Kama unashawai kuugua ugonjwa wa meningitis au ndugu yako naomba ushare experience!
Nina hizi dalili sasa kwa muda
1. Kichwa kuwaka moto/kuuma muda wote
2. Joto kali kichwani Fever
3. Kuumwa mgongo
4. Nimetoka rashez mkononi
Je si dalili hizi?
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ?
Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita.
Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri.
Mungu amrehemu.
Saa tisa usiku kasoro nipo namsikiliza msanii wangu pendwa enrique yule wa hero huku nikiangalia kidonda changu cha mapenzi ambacho kinamalizia kupona ...kama unanifutuatilia utajua uzi flani flani nilizoandika maana humu kwangu sehemu yangu ya kuwekwe kumbukumbu za matukio yangu...
Kwa mwaka 2022 maambukizi ya ugonjwa huo yalifika wastani wa wagonjwa 208 katika kila watu 100,000 hukua 25,800 wakifariki.
“Asilimia 36 ya waathirika wa Virusi vya Ukimwi wanaopoteza maisha inasababishwa na ugonjwa wa Kifua Kikuu. Hii inathibitisha ugonjwa huu ni hatari na kikwazo cha...
Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi?
Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na Saratani inayoanza mapema.
Dk. Suneel Kamath, kutoka Kliniki ya Cleveland alisema, "Hivi ndivyo ninavyoona...
Maisha ni fumbo na fumbo lenyewe Lina kuja pale unapougua na hujui utapona au ndo mazima.
Kuna magonjwa yanayoeleweka yanakupa hope kwamba ni suala la mda tu mambo yatakaa sawa. Ila Sasa kuna haya magonjwa ambayo mtu unakuwa uncomfortable mda mwingi unameza dawa hadi mwili unanuka dawa.
Yani...
Dadake atoa tamko na kusema kiongozi huyo sasa yupo imara baada ya kuugua na kwamba watalipiza kisasi kwa Korea Kusini maana wanasema ni mchezo ulikua umechezwa kiaina fulani hivi.........
SEOUL (Reuters) -North Korea's Kim Jong Un declared victory in the battle against COVID-19 on Thursday...
Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.
Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri.
Kazi kwenu...
"Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba taarifa zilizoandikwa na gazeti la Jamvi la Habari ni za kupuuzwa hazina ukweli wowote...
Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda?
Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu...
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Marekani (CDC) kinashauri kupata chanjo bila kujali ikiwa tayari ulikuwa na COVID-19 na ukapona. Ushahidi zaidi unaendelea kuibuka kuwa watu wanapata kinga bora kwa kupewa chanjo kamili ikilinganishwa na kinga mwili inayopatikana baada ya kuugua COVID-19.
Utafiti wa...
Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi.
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam.
Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC...
Ninachokiona ni kwamba watu hawajaweza kufikiri na kutafakari kwa umakini na wengi pia wanashindwa kutambua ikiwa ni habari zipi za kuamini kwani habari ni nyingi za uongo na uzushi ambao unaosemwa kwenye mitandao na baadhi ya vyombo vya habari na watu ambao ni wapotoshaji pengine kwa maksudi...
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.
Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.