kuuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii ya fisi 17 wenye chapa kuuliwa sio bure kuna sehemu na namna mitambo ilitingishwa.

    Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose. Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi. Inakuwaje mtu...
  2. Kamanda wa Hamas aliyetangazwa kuuliwa ajitokeza mitaani kushangilia ushindi

    Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas . Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya...
  3. Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  4. Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza. 🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20. 🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20...
  5. Kwa tukio la kuuliwa Ali Kibao nawatetea polisi.Ni kundi lenye nia mbaya na nchi

    Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika. Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala. Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...
  6. Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

    Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel. Japo yametokea mashambulio...
  7. Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  8. Mazishi ya mtoto anayedaiwa kuuliwa kwa kuchapwa na mwalimu yaahirishwa. Mwili wake unaendelea kufanyiwa uchunguzi

    Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
  9. Marekani haina haki kulipiza kisasi kwa kuuliwa askari wake watatu. Watakutana na wasichokitarajia

    Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23 Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la Droni huko Jordan na ambao Pentagon imeazimia kulipiza kisasi kikubwa kutokana na vifo vyao. Makundi...
  10. Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo Mada kwa ajili ya wanaume
  11. Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
  12. Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani. Nini...
  13. Kuuliwa kwa Kevin Darwin, colonel wa MOSSAD mwenye shabaha kumeihuzunisha Israel yote. Alipelekwa Gaza kuwasaka viongozi wa Hamas

    Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari. Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel Aviv na Israel yote.Afisa huyo muhimu wa Mossad amepewa jina la sifa kama black mamba kutokana na...
  14. Wapalestina sasa kuuliwa kwa kunyimwa maji na msongamano wa makazi

    Kucheleweshwa kwa zoezi la vikosi vya Israel kuingia Gaza kuna watu wanaamini kuwa ni woga wa Israel kupata kipigo kutoka kwa vikosi vya wanamgambo wa Hamas na wenzao huko Gaza kama ilivyokuwa huko nyuma. Hapana safari hii ni zaidi ya uwoga. Nia safari hii ni kuwamaliza wapalestina kwa wingi...
  15. Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  16. R

    Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

    Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
  17. R

    Wananchi Wilaya ya Serengeti watoa ushuhuda hadharani ndugu zao kuuliwa na Askari Nyamapori Serengeti

    Wananchi wilayani Serengeti watoa ushuhuda hadharani jinsi ndugu zao waliovyouliwa na Askari Nyamapori. Hili lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika Serengeti ambapo Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Catherine Ruge aliwapa kipaza sauti wananchi hao kuelezea jinsi ndugu zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…