Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu.
Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri.
Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka...