kuumwa viungo vya mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ugonjwa wa kuumwa viungo vya mwili (Arthritis)

    UGONJWA wa maumivu ya viungo huitwa kwa jina lingine yabisikavu. Jina la Kingereza la ugonjwa huo, ‘arthritis, linatokana na maneno ya Kigiriki yanayomaanisha viungo vilivyovimba. Mbali na kuathiri viungo, magonjwa hayo yanaweza kuathiri pia misuli, mifupa, na mishipa inayounganisha misuli na...
Back
Top Bottom