Kipindi wimbi la wapinzani kuunga mkono juhudi,ilikuwa ni project moja ya kushangaza sana,
Kulikuwa na dalili zote za wapinzani kununuliwa,unaitwa Ikulu unasomewa dhambi zako za kukwepa kodi TRA au dhambi nyingine unaambiwa uchague uunge mkono juhudi au kesho tukutane Kisutu RMC ,au tukufilisi...