Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12 kuzuia makombora ya Irani na Washirika wake, mara Iran itajibu ndani ya saa 72 ...vilio vyote hivyo...