Habari JF members,
Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO.
Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa.
Anaweza kufanya kazi zifuatazo:
1. Za ndani
2. Kuuza duka,
3. Shamba boy,
4. Kuosha...
Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM
Asanteni
Habari za muda huu wana jf,
Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection please anisaidie.
Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)
🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi.
🔸ANAEJUA HESABU.
🔹Umri miaka 25 au zaidi.
🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani.
MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika:
Waombaji wawe na sifa zifuatazo:
1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23
2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne
3.Wasiwe na familia/kuolewa wasiwe na mtoto/watoto.
4.Wawe na uzoefu wa kuuza duka, na kufanya miamala ya kifedha(uwakala)...
Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi.
Vigezo:
Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi
Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri.
Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam.
Ambae atakua tayari anicheki PM.
Sifa za mwombaji
1. Kijana anayejituma
2. Anayejua kuandika na kusoma
3. Mkazi wa kigamboni
4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki
5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika
6. Mwenye kitambulisho cha NIDA
TUWASILIANE HAPA KWANZA*
Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄.
Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm.
Sifa za muombaji:
1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika
2: Awe na elimu angalau kidato cha nne
3: Awe...
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha.
Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care).
Awe anajua...
Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni.
Elimu yake:
Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo.
Uzoefu wa kazi:
Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Pia amefanya kazi kwenye maduka ya kuuza nguo, maduka ya kuuza urembo...
Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
baada
banda
chuma
dar
dar es salaam
daressalaam
duka
fundi
godown
halali
internship
kariakoo
kazi
kazi yoyote
kibarua
kuuzakuuzaduka
maduka
mafundi
manual
msaada
natafuta
natafuta kazi
sugu
ujenzi
warehouse
Duka liko Dar es salaam eneo la mbezi barabara ya goba. Ni ndani kidogo mtaani sio barabara ya lami. Kutoka lami ni mwendo wa km 1.
Masharti ya kazi.
1. Ataishi nyumbani kwa boss wake kwa urahisi wa kufika eneo la kazi au dukani.
2. Awe na utaalamu wa dawa.
3. Mshahara sh 100,000 chakula na...
Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk.
Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo.
Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia.
contact 0628501029
Asanteni.
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k
Sasa wakati nikiwa pale...
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika.
Majukumu:
Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji.
Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma
Jinsia: awe mwanamke /msichana
Umri...
Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA:
Kituo cha kazi: Arusha mjini
Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021
Taarifa kuhusu kazi:
Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories).
Kazi za kufanya:
• Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.