Habari za wakati huu ndugu zangu!
Naomba kuuliza kama kuna mtu yoyote anajua taasisi, shirikika au hata kamapuni ambayo inajishughulisha na ununuaji wa maeneo au hata nyumba kwa haraka.
Kuna eneo la ndugu analiuza, sasa ni muda mrefu sana, na bei anayouza ni rafiki sana cha ajabu hauzi kabisa...