Amani iwe mioyoni mwenu wana JF
Wahenga wanasema: mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni
Kwa kipindi kifupi, hadithi zimekua nyingi sana, na dhima kuu ni kwamba nchi inauzwa.
Sasa basi, nini maana ya kuuza nchi?
Literally, unaweza ukafanya presumption kwamba serikali inatoa watu wote...