wakuu wikiendi inaenda?
Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho.
Sasa kwanini tunalipishwa bites ambazo zinatakiwa kutolewa bure? Utaratibu umebadilika kuwa viburudisho ndani ya SGR...