kuvaa kinyume na maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni kujua Impact ya wasanii wetu wanaovaa kinyume na maadili kwenye Mikutano ya Kitaifa

    Kuvaa nguo zisizo za heshima ni moja ya sifa za wanamuziki wetu. Wote tumeona na tunaangalia TV chanel zetu za ndani. Siyo vyema kusimulia zaidi kinachoonekana kwenye miili ya wanamuziki hao ambacho kimaadili hasa ya Kitanzania, hakikupaswa. Tuje kwenye mada. Ninaomba kuelezwa na mtu yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…