kuvaa

Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.

View More On Wikipedia.org
  1. IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
  2. Kitendo cha Waziri Simbachewene kuvaa picha ya Samia badala ya nembo ya taifa, sio ishara nzuri

    Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia. Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
  3. Kwanini ni muhimu Zelenskyy kuvaa suti White House ila sio viongozi wengine?

    Mojawapo ya maswali aliyoulizwa Zelenskyy leo na watu wa Trump katika mkutano wa hovyo wa waandishi wa habari wa Trump na timu yake ni kwa nini havai suti Oval Office/Ikulu ya Marekani! Aliyemuuliza swali alisema Wamarekani wengi sana wanatatizwa na kitendo cha Zelenskyy kutokuvaa suti akiwa...
  4. CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  5. Kiongozi wa nchi kuvaa suti bila tai ikoje kiitifaki?

    Kuna huyu rais wa Iran ni mtu anaye penda kuvaa suti lakini cha kushangaza huwa havai tai. Yaani huwa ana vaa kama mshikaji fulani tu ,kiitifaki ikoje hii?
  6. WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa Mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu

    WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu. (chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.) Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️ Much respect to us🤛
  7. Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  8. B

    Kilichonifanya nikaacha kuvaa suruali za kitambaa

    Ni muhimu sana kuwa makini. Unapoenda kwenye kadamnasi kubwa! Uzi tiyari🤣
  9. Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  10. Kuvaa jezi ofisini kupigwe marufuku

    Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima
  11. Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  12. Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  13. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete waliwahi kuvaa Magwanda ya JWTZ walipokuwa Marais?

    Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania. Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati wa vita ya Kagera na kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika. Ukiachilia mbali Mwalimu...
  14. Kijana wa miaka 16 aliamua kuvaa suit ya skirt siku ya prom

    Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana. Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
  15. Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  16. M

    Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

    Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
  17. Kutoka Kubeba Laptop Hadi Kuvaa Kifaa: AR na VR Zinafungua Dunia Mpya

    Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR). Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
  18. Kwa nini wanawake wa mjini huwa wanapenda kuvaa miwani oversize?

    Huu mtindo wa kuvaa miwani mikubwa iliyopitiliza(oversize) kwa wanawake wengi wa mjini huwa una maana gani?
  19. L

    Rais Samia hana Mbadala Wake wa kuweza kuvaa viatu vyake katika Uchaguzi hapo Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
  20. Afadhali niendelee kuitwa Mzee kuliko kuvaa nguo zisizo na staha

    Habarini waungwana Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani. Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani, wanadhani nina umri mkubwa kumbe bado sijafika huko. Nilipata maoni na wengi walinishauri nibadili style...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…