kuvamiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina Bali...
  2. Roving Journalist

    THRDC yalaani Mwandishi wa Ayo TV kuvamiwa na kunyang'anywa kadi ya kamera Mkoani Arusha

    TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
  3. G

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  4. Bulelaa

    Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo? Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
  5. K

    Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana

    Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo vya habari sana toka Magufuli aliopoingia madarakani. Nilifanikiwa kufahamiana naye mwaka 2017...
  6. M

    Nimecheka kwenye hii video mpalestina alivyofurahi Waisrael kuvamiwa na sasa analia

    Tarehe 07/10 huyu mwarabu mpalestina alishangilia Allah Akbar Allah Akbar maroketi yalivyokuwa yakirushwa Israel na kupeleka vifo, majerehi na kutekwa kwa wateule. Allah is nowhere to be seen kala kona.
  7. sky soldier

    Kuna uwezekano kwamba Israel ilijiruhusu kuvamiwa ili ipate sababu ya kutoa dozi nzito bila kulalamikiwa inatumia nguvu kubwa kukabiliana na mgambo?

    Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa (cease fire), itakuwa walifumba jicho kuwatoa sadaka baadhi ya waisrael kwa lengo ya kupata go...
  8. N

    Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
  9. Nsanzagee

    Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana. Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran. Naomba kujua...
  10. R

    Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

    Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
  11. JanguKamaJangu

    Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
  12. BigTall

    Tukio la Familia ya Mzee Ishengoma kuvamiwa usiku Dar, wanaishi kama Digidigi, mmoja anusurika kifo mara 3, waomba msaada kwa Rais Samia

    Hofu imetanda kwa familia ya Mzee Ishengoma ya Goba Jijini Dar es Salaam baada ya hivi karibuni kundi kubwa la watu ambayo idadi yao haikujulikana mara moja kuivamia familia hiyo nyakati za usiku na kufanya uharibifu mkubwa wa mali. Tukio hilo ambalo limeripotiwa tayari katika Kituo cha Polisi...
  13. Gily Gru

    Naota navamiwa na majambazi au wachawi

    Wasalaam Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
  14. akilimtindi

    Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

    Ndugu zanguni Wana-JF, nawapeni pole sana kwa majanga yanayowaandama wapenda haki wa nchi hii na wale wote wanaofanya bidii kuuweka uovu wa nchi hii wazi mbele ya wale wasiojua kinachoendelea. Binafsi napenda kutoa pole kwa familia ya Kibanda pamoja na familia za wengine wote waliowahi kuumizwa...
Back
Top Bottom