Chadema imepitia mapito mengi:
Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014.
https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
Miaka ile ya 1980s nakumbuka wakati wazamiaji wakirudi walikuwa wakiitwa Mabaharia lakini Mzee Kambangwa alisema hawa siyo Mabaharia ila ni Makuli wa Melini
Sasa sisi Wabishi tulitaka Ufafanuzi zaidi ndio akasema hapo bandari kuna wabeba mizigo( kuli) ambao hulipwa daily kama vibarua kadhalika...
Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”.
Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa...
Hili suala la mamlaka nchini kuonekana kutumia nguvu isiyokua ya kawaida kuidhibiti chadema isiweze kuwavua wanachama wake uanachama linastaajabisha wengi.
Tumeona na kuzoea kuona chama cha mapinduzi kuweza kumng'oa kirahisi mbunge wake anayeenda kinyume na chama bungeni kwa kumfuta uanachama...
Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Mdee na wenzake wamefungua shauri hilo siku 13 baada ya kupata kibali cha mahakama hiyo.
Mahakama hiyo imewaruhusu...
Wakuu,
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, speaker wa bunge la muungano anaweza kukoma kuwa speaker ikiwa kama alichaguliwa kuwa spika kutoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa na wananchi ambapo ubunge wake ukitenguliwa.
Ndugai anaweza kusitishiwa na kufurushwa uanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.