kuvunja mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kihasibu "Prince Dube" ni LIABILITY, Milioni 500 za kumvunjia mkataba na kumpa milioni 30 kila mwezi ni kipigo kizito kwa Yanga

    Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis, Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500 Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube kashaanza kuonekana mzigo, havumiliki. Dube anangia Yanga analipwa milioni 30, Kibu kapambana sana...
  2. R

    Watanzania mnaposhangilia nchi kulipishwa faini za mabilioni msidhani mnamkomoa Hayati Magufuli. Yeye alishamaliza mwendo wake

    1. Tanzania na hasa upande wa serikali hakuna wanasheria wabobezi wa mikataba ya kimataifa 2. Kesi za Tanzania zilizofunguliwa kwenye mahakama za kimataifa zinasimamiwa na watumishi wa umma wanaona posho kama kipaombele na siyo wanasheria wabobezi. 3. Kesi hizi zinasimamiwa kwa siri kubwa huku...
  3. Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

    My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote. Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
  4. Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  5. Kihenzile aitaka TAA kuvunja Mkataba na Mkandarasi anayejenga kiwanja cha Ndege Ruvuma

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
  6. Misri watishia kuvunja mkataba wa Camp David iwapo Israel itashambulia Rafah

    Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao. Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen...
  7. Tanzania inatakiwa kuvunja Mkataba wa Loliondo!

    HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na...
  8. SI KWELI DP World waomba kuvunja mkataba wake na Tanzania

    Wakuu kuna ukweli hapa?
  9. Naomba ushauri wa kisheria kuhusu Mwajiri kulazimisha nivunje mkataba

    Habarini wakuu! Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie. Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni imeshindwa kumudu hilo ongezeko la mishahara. Mwajiri alichokisema ni kwamba yeye kashindwa kumudu...
  10. H

    Cheedy: Kuvunja mkataba Konde gang ni Billioni 1 ila wao wakivunja mkataba na wewe ni million 10

    Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
  11. Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  12. Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  13. Maisha ya soka: Eden Hazard kuondoka Real Madrid. Wakubaliana kuvunja mkataba

    Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 150, amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya kutofikia kiwango chake...
  14. Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
  15. Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

    Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za...
  16. M

    Viongozi wa Yanga Feitoto ameshageuka adui yenu, achacheni naye

    Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo. Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu...
  17. Harmonize atakiwa kuwalipa Tsh. Milioni 20 Killy na Cheed kwa kuvunja mkataba nao

    Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga). Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
  18. Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

    Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…