Tubadilike mtu akishaoa au akiolewa waacheni waishi maisha yao,watu wameoana tayari mshaenda kujazana kuishi hapo mara bibi,sijui shangazi, sijui shemeji, acheni wanandoa waishi kwa uhuru mnawabana, mara waletewe mtoto sijui wa nani walee, acheni wanandoa waishi wenyewe kusalimiana iwe mara moja...