kuvunja sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. musicarlito

    Profesa au Dr. Akiiba,Ame-elimika huyu?

    Wakuu habari Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au nchi,akazitumia zote kwa maslahi yake kama kujenga bar,lodge,majumba ya kifahari nk...huyu ana vyeti au...
  2. J

    Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  3. Ghost MVP

    Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

    Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria. Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
  4. T

    Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  5. Miss Zomboko

    Ghana: Wafanyabiashara 5 mbaroni kwa Kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data

    Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data. Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  7. M

    Unatumia mbinu gani kuepuka kodi (tax avoidance) bila kuvunja sheria za nchi?

    Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
  8. Replica

    Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  9. JanguKamaJangu

    Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

    Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
  10. witzone2

    Kwanini Polisi wetu ndio wanaongoza kuvunja sheria?

    Kuna msemo polisi wanao Tii sheria bila shuruti. Lakini wao hawatii hizo sheria hata kidogo. Ndio wanaongoza kula rushwa Kubambikizia watu kesi. Kufanya ukaguzi wa mtuhumiwa bila kua na warant toka mahakaman. Wanakubambkia dawa za kulevya humo. Kunyanyasa wananchi imekua ni jadi yao. Na hali...
  11. JanguKamaJangu

    Polisi yawakamata watu 632 kwa kuvunja sheria ndani ya wiki tatu

    Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: Kufuatia kikao cha ujirani mwema cha tarehe 18 Machi 2022 ndani ya Kanda No. 2 inayohusisha mikoa ya Kipolisi Ilala, Temeke, Kinondoni, Pwani na Rufuji, pamoja na mambo mengine Makamanda wa Mikoa hiyo walikubaliana kufanya Operesheni...
  12. Song of Solomon

    Magari ya dharura ni yapi, na je yanaruhusiwa kuvunja sheria?

    [Kifungu cha 54 cha Sheria ya Usalama Barabarani] 1. Bila kujali vifungu vya sheria ya Usalama Barabarani na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 54, dereva wa gari la dharura, ikiwa ataona kuwa kuzingatia sheria kutazuia matumizi ya gari la dharura kwa kusudia lililotarajiwa, anaweza...
Back
Top Bottom