Nawauliza wataalamu wa Afya, hususani Damu.
Je, mtu anayetumia Pombe na Sigara haruhusiwi kumchangia mtu Damu?
Kama ni kweli, Kwa nini?
Ndugu yangu ameshindwa kumchangia Mgonjwa Damu kwa sababu tu mdomo wake umeonekana mweusi!
Alipoulizwa na mnasihi kama anatumia vilevi gani, alikiri kuwa...