Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.
Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja...
Imezoeleka kusemwa kwamba mwanaume katu hawezi kuwa wa mwanamke mmoja ila lazima awe na wanawake wengi,je umeshawahi kujiuliza kwamba huyo mwanaume ambaye hakai na mwanamke mmoja kwamba anaweza pita na mkeo?
Kama hivyo ndivyo basi nadhani wanaume ifike kipindi tujue kwamba kama sisi hatuwezi...
Habarini za jioni jamani nimewakumbuka wanajukwaa!! kama kichwa kinavyojieleza ushauri uzingatiwe kwa maendeleo ya taifa
NB; Nimeona nisipite bure kwani nimewakumbuka familia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.