Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia...
Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on expectations alizo jiwekea yeye.
Ongezeko la wanawake walio single, linazidi kuongezeka. Let alone wao jamii...
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU
Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
Nawapa mbinu ya kimafya,
Hii mbinu sitarudia tena kuitoa
Ukipuuza usije unalia January
Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu
Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi
Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo
Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke.
Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto.
Wanawake wengi...
Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi.
Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi .
Ila sasa kwa wanawake wakishapata pesa tu cha kwanza watakachofikiria kama yupo ndoani atataka avunje hiyo ndoa...
Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.
" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."...
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.
Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
Shalom,
Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo.
Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao.
Kuna baadhi ya...
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle
Nikaja kugundua kwamba nipo...
Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena
Enyi mabinti
Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo
Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba...
NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER"
Na, Robert Heriel
Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume.
Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa.
Ndio maana hata...
Habarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.
Binafsi nina experience ya kuwa Single...
Salaaam magreat thinkers
Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)
1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.