Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka!
Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa...
🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma:
"Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
amani
chadema
chama
dar es salaam
habari
idadi
idadi ya watu
jana
jeshi
jeshi la polisi
katika
kuandamana
kukataa
kushiriki
kushiriki maandamano
kutumia
kuwadhibiti
maandamano
maandamano ya amani
mbowe
mpaka
uhalali
video
waandishi wa habari
wanachadema
Hello!
Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero.
Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine
Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
Walipoleta utaratibu wa kusajiri kwa alama za vidole walituambia ni kwasababu ya kudhibiti matapeli, ila kadri siku zinavyoendelea ndivyo wanavyoongezeka.
Je, mfumo ulikuwa wa upigaji umeshindwa kuwadhibiti? Au TCRA wanashirikiana na hawa wapigaji? Je, kwanini wasiweke utaratibu rahisi kabisa...
Nina Dawa yao moja Mujarab kabisa ya kuwapa ambayo nina uhakika wa 100% kuwa si tu itawatia Adabu lakini hawatorudia tena na Watahimizama Dar es Salaam nzima Kuacha ili wasije kukutana na Mimi GENTAMYCINE ambayo nina PhD ya Kuadhibu na kutoa Adhabu tukuka na takatifu hasa kwa Wapuuzi, Washamba...
MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
Matokeo yake imekuwa wengi wanagongwa wakiwa na abiria kwa makosa ya ujinga wanaosema wao fashion. Kwanini hawa vijana msiwasake vijiweni waliong'oa saiti mira wote ndaani.
Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani.
Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
Ile Taasisi bora ya akina mama barani Africa, na ambayo inatajwa kushika namba 3 kwa ubora duniani kwa sasa, BAWACHA, Imeishika Nchi kwa kiganja kimoja cha mkono wa kushoto.
Pamoja na kwamba Bawacha ni Taasisi ya wanawake, lakini nguvu kubwa inayotumiwa na Jeshi la Polisi kuwadhibiti bila...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu.
RC Makala: Ili...
Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao.
Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi.
Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.