Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo.
NMB acheni kuwahadaa watumishi.
Wana bodies,
Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku .
Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha
Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya Kisasa' Nchini Tanzania.
Zaidi andiko lilielezea mbinu na shuhuda za uongo (feki/za mchongo)...
Ni bahati mbaya sana Tanzania ujinga ni mkubwa sana, Wabunge hawapimwi kwa michango yao kwa Taifa bali kwa uwezo wa kununua Cement, Bati na Misumari na kwenda kugawa Jimboni siku za weekend.
Pale Dodoma wanapitisha kila kitu kinacho jadiliwa pale na wengine hawaongei kabisa ila wanajua Jimboni...
Habari!
•Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji.
• polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda.
•Mahakamani nako rushwa iko waziwazi.
•Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
Ukiamua kutaja maeneo ya jiji la Dar es salaam yanayo athirika na mvua za kila mwaka huwezi kusahau kutaja eneo la Basihaya linalopatikana jimbo la Kawe.
Basihaya ni miongoni mwa maeneo yanayojaa maji kila mwaka pindi msimu wa mvua unapofika. Barabara (Bagamoyo road) hufunikwa kabisa, maji na...
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania.
Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu.
Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
Jana kupitia vyombo vya habari waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi kufanya alichokiita msawazo wa watumishi katika halmashauri zao akilenga zaidi kwa walimu.
Amedai kwamba katika halmashauri nyingine sio kwamba walimu hawatoshi bali tatizo ni watumishi kulundikwa sehemu moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.