Mbunge wa Viti Maalum, Ngw'asi Kamani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali vijana na kuondoa malipo ya kodi ya mwaka mmoja wanapoanza biashara.
Akichangia bungeni Aprili 11, 2023 katika mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2023/24, Kamani...