Chama cha Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast cha RHDP kimemteua kiongozi huyo kuwania kiti cha urais kwa mara nyingine tena katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Hatua hii imejiri siku mbili baada ya vyama viwili vikuu vya upinzani nchini humo kutangaza "msimamo wa pamoja" wa...