Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
Wana wema!
Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini.
Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
Wakuu.
Ukiangalia namna mambo yanavyokwenda kwenye Jamhuri yetu hii pendwa utaona wazi kabisa kuwa kuna ombwe la uongozi.
Inaction is everywhere.
Inatokea issue critical ambayo inahitaji maamuzi ya haraka , kila mtu anabakia kumtegea mwenzake.
Kiongozi badala ya kutake action naye anabakia...
Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi .
Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk
Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani.
Lakini walipomfungia Haji Manara...
Ukisha wagawa watu hutoweza kuwaongoza. Samia ashafeli mapema hatofanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Samia alipopata madaraka ukweli watanzania wengi walikuwa wanampenda Sana, si CCM, si Chadema Wala ACT wote walikuwa na matumaini makubwa. Samia hotuba zake za kwanza zilikuwa na matumaini, zilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.