Yaani uchimbaji na uhunzi wa madini ya chuma leo 2024 ambapo wenzetu wanafikiria akili mnemba(AI) umeshindikana Mpaka mmetafuta kampuni ya kichina. Kwamba mmeshindwa kuwapa motisha kampuni za wazawa na vijana wazawa na nyinyi wenyewe mkishiriki Kwa pamoja. Hafu utasikia mabeberu wanatunyonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.