kuwapa miradi wazawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania tunashindwa kuwapa miradi wazawa hadi tunawapa Wachina?

    Yaani uchimbaji na uhunzi wa madini ya chuma leo 2024 ambapo wenzetu wanafikiria akili mnemba(AI) umeshindikana Mpaka mmetafuta kampuni ya kichina. Kwamba mmeshindwa kuwapa motisha kampuni za wazawa na vijana wazawa na nyinyi wenyewe mkishiriki Kwa pamoja. Hafu utasikia mabeberu wanatunyonya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…