Kuna kijana amehitimu maswala ya videography na target yake ni kwenda kwenye hizi media Kama wasafi, clouds, eatv etc . (Anachangamoto/ majukumu kidogo kweny familia ijapokuwa hana kipato cha kueleweka)
Kutokana na maisha yalivyo ni muhimu kufahamu hata mishahara tu ya waliopo kweny ajira...
Biblia inasema "unapotoa msaada kwa mkono wa kulia hakikisha mkono wako wakushoto haujui"
Kama nitakua nimekosea mtanisahihisha na wajuzi wa Islamic waje wadadavue Nini nini miongozo wa Qur'an tukufu kuhusu kupiga picha watu wanaopewa msaada nakusambaa mtandaoni.
Nawasilisha swali langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.