Hivi Wakuu!
Hizi mita za maji zinazoibiwa si dili za watu kadhaa kutoka kwenye mamlaka husika jamani, maana wizi huu umetawala sana.
======
Zaidi ya mita 300 za maji zimeripotiwa kuibwa katika kipindi cha mwaka mmoja mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa huo, Thobias Andengenye ameitaka Mamlaka ya...