kuwasha uume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RoadLofa

    Uume unaniwasha ndani kwa ndani, nifanye nini?

    Mambo vipi humu ndani aisee sijui ugonjwa gani huu umenipata yaani ikifika mida ya kulala kuanzia saa 3 usiku ngozi ya mwili mzima Inawasha balaa Hadi kupelekea kujikuna Kuna ovyo usiku kucha nafuu ni pale ninaposinzia tu.. Ila pia limeibuka Hadi uume nao umekuwa ukiwasha kwa ndani kwa ndani...
Back
Top Bottom