Mtu unajipitia zako mara umeshikwa bega, au unavutwa nguo, mkono au kiuno, dada hii inakutosha au hii itakupendeza kwani huwezi kuniambia nikasikia tukaelewana bila kunigusa?
Machinga wa Karikaoo, Karume, Mbezi ya Kimara jumlisha na wale wapiga debe ndo kuzidi kabisa, Mwenge yaani wanakera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.