kuwashika shika wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

    Mtu unajipitia zako mara umeshikwa bega, au unavutwa nguo, mkono au kiuno, dada hii inakutosha au hii itakupendeza kwani huwezi kuniambia nikasikia tukaelewana bila kunigusa? Machinga wa Karikaoo, Karume, Mbezi ya Kimara jumlisha na wale wapiga debe ndo kuzidi kabisa, Mwenge yaani wanakera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…