Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano uliofanyika jimbo la Lindi mjini, Katibu wa...