kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  2. Umuhimu wa kuweka lenta

    Never forget the ring beam. Never skip it either.no matter how broken. It's like a belt in your trousers 👖 or the elastic in your underwear 🤔. With them (it) things will fall apart. Your house is fortified by your slab (shoeless), your footing (footsore), your ring beam (belt or lastic), and...
  3. Je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?

    Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty? Hii putty ina ulazima gani wakuu?
  4. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  5. Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

    Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
  6. Epuka kuweka vifaa vya kuwasha na kuwaka moto karibu na watoto

    Mhadhara (82)✍️ CHUKUA TAHADHALI KABLA YA HATARI. Watoto wa sikuhizi ni watundu sana, hivyo katika uzi huu tunakumbushana mambo madogo ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani kwako. Wale wavuta sigara mnaotumia viberiti vya aina mbalimbali kwa ajili ya kuwashia sigara zenu. Wamama...
  7. Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  8. R

    Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  9. Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  10. F

    Epuka jinsi uwezavyo kuweka tatoo mwilini mwako

    Kadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu. Tatoo hata kama unachora tatoo ya msalaba au kitu unachofikiri ni kitakatifu, ulichofanya ni kitu kibaya na hakitakuacha salama. Tatoo...
  11. B

    Kuweka akiba kwa kipato cha 15000 Kila siku ambayo ni Sawa na 450,000 ni kujitesa!

    Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea 👉Umepanga chumba na sebule 70k-100k kwa mwezi 👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku 👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi 👉Bado umeme(10k), maji 👉Huna malupulupu Kuweka akiba kwa mtu anayeingiza 450k kwa mwezi ni kujitesa...
  12. Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  13. U

    Zipi Sababu baada ya kuweka pamoja kwa friji chupa 3 za maji kampuni uhai, hill na kilimanjaro, nimekuta chupa 1 tu ndiyo imeganda kabisa?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda Mazingira...
  14. Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi

    Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
  15. R

    CCM kwanini tumeona ni muhimu kuweka pazia kuliko mlango?

    Upo wakati siasa zinahitaji milango kuliko mapazia. Upo wakati mitikisiko ya milango inakufanya uchague zaidi kuweka pazia kuliko kuweka mlango. Upo mtikisiko mkubwa ndani ya CCM uliopekea wanafalsafa kubainisha umuhimu wa pazia kuliko kuendelea kung'ang'ania milango ambayo wakati mwingine...
  16. B

    Tamida yasema ni sawa BOT kuweka akiba ya madini

    Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
  17. M

    KERO Mamlaka mnasubiri nini kuweka matuta pale center barabara ya Dege Kigamboni?

    Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue? Pale kuna shule za ndani ndani kama Nguva na Meka. Gari zikitoka huko aidha mjini au Kimbiji kwenye...
  18. REVIEW YA MOVIE: Kung fu panda 4

    Chameleone: Giving to gain I believe thats how things work
  19. Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  20. G

    Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…